*SUPER GRO NI NINI?*
NI MBOLEA BORA YENYE UWEZO WA KUPIGA VITA UMASIKINI NA NJAA
*SUPER GRO PIA*
Ni mbolea ya asili isiyokua na kemikali hatarishi. Yenye uwezo wa kurutubisha mmea na ardhi. SUPERGRO ipo imeenea karibu duniani kote na ipo tangu mwaka 1958 INATENGENEZA NA KAMPUNI KUBWA DUNIANI YA KIMARENI
*SUPER GRO IMEWEZA KUJIBU CHANGAMOTO ZA WAKULIMA*
MFANO:
👇👇👇👇
*1⃣Msimu usiotabirika.* Yaani mvua zinaweza kua nyingi au chache, hivyo inapelekea kutokuvuna vzr.
*2⃣Mazao hafifu.* Wakulima wamekua niwatu wanaotumia nguvu kubwa sana kulima lakini hawapati kinachostahili
*3⃣Udongo uloishiwa rutuba.* Tumekua tukilima ktk mashamba yaleyale kwa tangu enzi za babu zetu hivyo kupelekea kupoteza rutuba ya asili
*4⃣Wadudu na Magonjwa.* Hili ninjanga kubwa maana magonjwa yamekua mengi sana ktk mimea na mazao yetu ni kwa sababu rutuba hakuna. (Kumbuka mwenyewe zamani wakati rutuba ipo hali ilikuwa hivi??)
*5⃣Gharama kubwa za pembejeo.*
*6⃣Kutokua na uhakika wa soko.* Mkulima ni mtu ambae hana kabisa uhakika na soko lake maana kunawakati mazao yanauzwa kipindi kuna mteremko wabei nakusababisha hasara. lakini pia hana uwezo wa kuuza masoko ya nje kutokana na kemikali nyingi alizotumia
*SASA,,, Changamoto zote hizi zinajibiwa na👉Super Gro tu.*
*TUANGALIE KAZI KUU 3 ZA SUPER GRO NDO UTAONA NI KWELI NI JIBU LA CHANGAMOTO AU LAA*
1. Hulainisha maji na kuondoa mzio wa maji. Kwani huwezesha maji kupenya hadi tabaka la tatu la udongo ambalo huwa na madini na virutubosho vingi muhim na kuvipandisha juu katika mmeahivyommeaunajitengenezea chakula chake wenyewe..
↘Kwa Kawaida maji mengi hutiririka juu ya udongo na majani ya mimea bila kupenya ardhini na kiasi kidogo tu hupenya na kuishia tabaka la juu la udongo, Jua likiwaka maji hayo hupotea kama mvuke hewani. *Ila ukitumia super gro huweza kupenya na kwenda kujihifadhi chini ili mvua zikikata unyevu nyevu hupanda juu ili mme usiathirike na jua.*
2. Kuwezesha mizizi kupenya na kufika mbali zaidi ila kwenda kujichukulia Rutuba ambayo haijafikiwa kabisa na sumu yoyote hivo mmea kuweza kuwa bora sana
3. Kuchochea ufanyaji kazi mzuri wa mbolea na viwatilivu kuweza kufanya kazi vizuri pia kunatisha madawa yasiondolewe na mvua au hewa.. hivyo kujikuta umetumia garama ndogo
*SIFA ZA SUPER GRO*
✅Huongeza rutuba katika udongo
✅Husaidia maua yasipukutishwe na upepo hivyo huongeza wingi wa mazao
✔Ni kama gundi huwezesha madawa ya kilimo aina zote kushika vizuri zaidi kwenye majani na hivyo madawa huweza kuua wadudu kwa urahisi zaidi
✅Huongeza uwezo wa udongo kutunza
unyevunyevu
✅Huyeyusha hali ya mafuta mafuta kwenye majani ya mmea hivyo hutawanyisha maji kwa urahisi
✅Huleta rangi ya kijani katika mmea
✅Huleta nguvu mpya kwa mazao yaliyo lemaaa
✅Husaidia mimea kukua kwenye kimo kimoja
✅Huzuia fungas ( fungus) au ukungu kwenye mimea
✅Haina sumu ni salama kwa binadamu pia na mazingira kwasababu haiathiri udongo
✅Huongeza wingi wa mavuno pia ukubwa wa matunda
✅Huongeza uzito wa mazao yote kwa mfano
Kabichi, ngongo, vitunguu, Karoti, mahindi, viazi, korosho, chai, kahawa, maharage, mahindi, kunde na mazao mengineyo. Maana supergro ni kwa kila zao
*MATUMIZI*
Mililita moja (cc) ya super gro changanya na maji lita moja au mililita 5 (cc)5 za Super Gro changanya na lita 5 za maji, mililita 100 za super gro changanya na lita 100 za maji.. ikoroge vizuri ichanganyike vizuri
*JINSI YA KUTUMIA*
👉MAHARAGE NA SOYA----
Kabla ya kupanda loweka mbengu kwa masaa manne kwenye mchanganyiko wa Super Gro na maji. wakati wa kupanda acha nafasi ya sentimita 30 au rula moja kila moja kila upande kati ya mbegu na mbegu.
Badaa ya kuota puliza maharage yakiwa na majani mawili au matatu.
Wakati wa mvua pulizia mara moja kila baada ya wiki mbili na mara moja kwa wiki wakati wa kiangazi (ukame).. *puliza awamu mbili tu* kisha upishe zoezi la upevukaji.. ukiona maua yemeanza kutoka na wadudu wapo jua kuwa aridhi yako haikuwa na rutuba kabisa.. SASA KWAKUWA ARIDHI HAINA RUTUBA YA ASILI HIVYO HUTOWEZA KUWAEPUKA WADUDU HIVYO ILI KUZUIA
wadudu waharibifu changanya (mililita 15 ya duducyper kwenye super gro mililita 15 na maji lita 15) Puliza kila baada ya wiki mbili au moja mpaka maua yatakapokomaa na kudondoka yenyewe. Baadhi ya sehemu huko Uganda wameweza kuvuna chini ya miezi miwili baada ya kupanda
*JEDWALI LIFUTALO LINAONYESHA MATOKEO BAADA YA KUTUMIA SUPER GRO katk wilaya za MASAKA na MITYANA.*
MASAKA
MITYANA
Maharage yaliyopandwa
Kilo 6
Kilo 7
Maharage yaliyovunwa
Kilo 250
Kilo 250
MAHINDI🌽
👉loweka mahindi kwenye mchanganyiko wa mililita cc moja ya Super Gro na lita moja ya maji kwa siku moja. Masaa 12 kisha yaopoe Panda kati ya futi moja na nusu na futi mbili kisha upande wa mbegu, weka mbegu mbili kila shimo. *kama kawida shamba lililozoea mbolea nashauri upandie na mbolea kidogo ila kadri unavoweka supergro rutuba inarudi kuwa kama kawaida.. sasa Puliza baada ya mahindi kuota majani mawili hadi manne au urefu wa nusu futi. Endelea kupulizia mara moja kila baada ya wiki mbili wakati wa mvua na mara moja kwa wiki kama kuna ukame pulizia kwenye majani na ardhi kuzunguka shina. Kiangazi ni awamu 5 masika ni awamu 3.. *Usipulize wakati mahindi yamefunga mimba ya mbelewele usipulize ili upishe zoezi la upevukaji*. Ila mazao yakibeba tu ruksa kuendelea hadi tani yako. TUENDELEE na maelekezo sasa kwa masika Inashauriwa kuchanganya na dawa za kuua wadudu kama kuna wadudu endelea kupuliza mpaka mahindi yatakapo toa hindi au mbele wele. Unapotumia super gro Mahindi yana uwezo wa kutoa hindi mapema baada ya wiki 6 yatakuwa tayari kuvunwa yakiwa mabichi baada ya miezi mitatu.
Uzoefu wa wakulima na matokeo ya kutumia Super Gro huko Masaka Uganda tunashuhudia
mahindi yaliyopandwa
Kilo 5
Yaliyovunwa
Kilo 6,000
👉Pia mtama unatakiwa kulowekwa usiku kucha na kupandwa kesho yake na kuhudumiwa kama mahindi.
KARANGA🥜
👉Kwa zao la karanga inashauriwa kulowekwa kwa saa 4tu, Panda mistari kati ya nusu futi kila upande na mbegu moja kila shimo. Puliza mchanganyiko wa super gro na maji (1cc super gro kwa lita moja ya maji)
Baada tu ya kuota puliza mara moja kila baada ya wiki moja wakti wa ukame na mara moja baada ya wiki mbili wakati wa mvua.Acha kupulizia mara zinapoacha kutoa maua.
*VIAZI VITAMU🍠*
👉loweka vipande vya miche sehemu ambazo zitazikwa ardhini ndio iingie kwenye mchanganyiko wa Super Gro kwa saa 12 , baada ya kupanda na ukaona kama mizizi imeshika basi pulizia juu na endelea kupulizia mara moja kila wiki wakati wa ukame na mara moja baada ya wiki mbili wakti wa mvua. Hadi awam 3 Acha kupuliza baada ya majani kutambaaa na kufika tuta la pili yake. Watumiaji wazoefu wa super gro wanasema baada ya wiki mbili hadi tatu viazi vichanga hufika ukubwa wa kidole
⏭SUPER GRO
👉Hulainisha udongo na kuhifadhi maji kwenye matuta wakati wa kiangazi na viazi vinaweza kuendelea kuzaa hata mwaka mzima.
KAHAWA🌳
👉kwa mimea kama miti pulizia na mwagilia kuzunguka shina.
Super Gro inaweza kutumika kuanzia kwenye kitalu cha miche mpaka uhai wote wa mibuni, weka nusu lita ya mchanganyiko wa Super Gro na maji kwenywe mmea mmoja.. ila ukiwa mkubwa utaweka lita au lita 2.. huu mmea unatakiwa kuweka masika kila baada ya wiki 2 wakati wa mvua weka mara mbili kwa mwezi na wakati wa kiangazi usiweke. Rudia wakati wa mvua tu unapotumia super gro mibuni itaanza kutoa maua kabla ya mwaka kuisha na inaweza kutoa maua haraka baada ya mavuno ukipuliza Super Gro hutoa maua tena. Huzuia sisimizi ambao hupanda kwenye mibuni. Wakati kahawa inatoa maua pulizia super gro bila kuweka dawa yeyote ya kuua wadudu.
⤵Kwa mibuni mikubwa tumia lita 2 hadi 3 mchanganyiko wa super gro na maji kwa mbuni mmoja na unaweza kutumia kwenye majani pia. *usizidishe mchanganyo ni cc 1 kwa maji lita 1*
Matokeo ya mbuni mmoja huweza kutoa hadi kilo 20kg za kahawa ilyokobolewa
MIGOMBA🌴 AU NDIZI🍌
👉Kabla ya kupanda loweka shina la mgomba kwa saa 24 baada ya kupanda weka super gro kwa kufuata utaratibu kama ulotumia kwenye kahawa pia unaweza tumia kwenye dawa ya kuua magugu.
VIAZI MVIRINGO (ULAYA)🌱
👉Pulizia Super Gro kwenye mbegu usiku na kesho yake panda. Baada ya kuota pulizia kila baada ya wiki mbili mpaka vitakapoanza kutoa maua
Mkulima mmoja masaka (UGANDA) Alipanda kiiloba kimoja akavuna viloba zaidi ya vitano.
MBOGA ZA MAJANI NA VITUNGUU🍆🍅🌶
👉Mboga hizo pamoja na zifuatazo
Nyanya, pilipili, hoho nyanya chungu, kabichi, Bilinganya, Spinachi na Mchicha. Isipokuwa kwenye vitunguu super gro ikizidi huaribu umbile la zao kutokana na kuwa na ukubwa usio wa kawaida.
NYANYA🍅
👉loweka mbegu kwa siku mbili kabla ya kupanda, unaweza kupanda kwenye vitaru au moja kwa moja kwenye shimo, kwa kuwa mbegu huwa zinashikana ni vizuri kuziachanisha kabala ya kupanda. Mbegu huota baada ya siku 5 tu ukilinganisha na kawaida ambapo huota baada ya siku 14. Changanya super gro kwenye solo ya kupulizia kwenye majani mililita 1 kwa maji lita 1 kama ni solo la lita 20 weka mililita 20 cc za super gro hufanya dawa za kuua wadudu na za ukungu kushika vizuri kwenye majani Mfano Blue Kopa kwenywe nyanya
👉Mkulima wangu wa muhinda manyovu Kigoma
Baada ya kutumia Super Gro anashuhudia kuwa amevuna nyanya nyingi ambazo hajawahi kuvuna zaidi ya miaka 20 iyopita. Hadi ameenda kufungua duka kahama baada ya kipato kikubwa na nyanya alianza kuvuna mwezi wa 9/ 2020 mpaka miezi minane nyanya hazijaisha akaamua kumuachia mke aendelee kuchuma.. yaani kadri unavoweka supergro ndipo majani mapya hutokea na maua kuendelea kuchanua
Pia mchanganyiko huo wa maji na super gro utamsaidia mkukima kuondokana na adha ya kumwagilia Marakwamara unafaa kumwagilia kwani huzama chini kwa wingi na kupunguza kazi ya kumwagilia maji angalau kila baada ya siku tatu badala ya kila siku na kuongeza uwezo wa nyanya kufyonza Mbolea na virutubisho vingine kutoka Ardhini.
Fuata utaratibu kama huo kwa mboga zingine za majani*
*⚠️ANGALIZO*
1. Usizidishe kiwango eti unajiongeza. Maana supergro haibadiri rangi, wala haina harufu kama ulivozoea vitu vingine.. ukizidisha mmea haufi ila utadumaa na kuwa njano.. na ukigundua umeharibu, *nenda kachanganye kwa usahihi upulize, utashangaa maajabu.. kichwa kitaoza ila muhindi au zao lako litatoa matawi kama na kupamba upya..*
2. Usiishi kwa mazoea.. super gro ina ubora kubwa, usiilinganishe na vitu vingine hivyo fuata maelekezo vizuri,
3. Kwa shamba liliozoea mbolea za kemikali nashauri kwa awamu ya kwanza hadi ya 3 utumie japo kiwango kidogo cha mbolea mpaka udongo uwe na rutuba ya asili ndipo utatumia supergro pekee
4. Kwa mazao ambayo hujichavua yenyewe, changanya Super Gro na Madawa yote ya mimea na kupuliziaMaua yake MAZAO HAYO NI KAMA
Mpunga, Mahindi, soya, Ngano mazao yote jamii ya ngano, Dengu, Njegere. Maharagwe jamii yote kwa kuwa haiui wadudu. Bali huleta rutuba na mmea kujitengenezea ulinzi wake wenyewe. Sasa rutuba haiwezi kuja kwa wiki moja.. Mfano ya mazao Kahawa, Cocoa, apples, zabibu, alizeti, tikiti,Maboga ,matango jamimii yote ya pilipil nyanya, ufuta Bilinganya N.k
5. Mazao ambayo huchavuliwa na wadudu unashauriwa usitumie madawa ya kuua wadudu wakati mazao hayo yakitoa maua kwani dawa hizo zinaweza kuua wadudu wachavushaji mimea.
👉SUPER GRO PIA pekee inaweza kutumika kama haijachanganywa na madawa ya kuua wadudu.
*NB*
Wakati maji💦 ni uhai lakini yanazidi kupungua Duniani huku idadi ya watu inazidi kuongezeka
SUPER GRO ni MKOMBOZI Mkubwa kwani
nasaidia kupunguza matumizi ya madawa ya Kilimo.
*HISTORIA YA USAJILI WA SUPER*
•
SUPER Gro iliingia Tanzania tangu mwaka 1999 na ilisajiliwa kama kirutubisho tu cha mmea hasa mimea kama maua na ukoka
Wakulima Baada ya kuona matokeo mazuri, wakapeleka mashambani na wakawa wanaitaka iwe madukani ila usajiri wake ulikuwa hauruhusu...SASA kwa mapenzi makubwa ya serikali yetu pendwa imeweza kuisajili super gro kama mbolea na inaruhusiwa kuuzwa madukani kama mbolea zingine.. NA MTU YEYOTE ANARUHUSIWA KUWA WAKALA

0 Comments