SUPERGRO ni mbolea ya maji, ya asili isiyo na kemikali sumu
Imetengenezwa kwa magome ya miti na kinyesi cha ndege
Unaweza itumia
👉🏼Kupandia-mimea inachipua mapema ndani ya siku 1-2
👉🏼Kukuzia -mimea inakua haraka na ina kuwa na afya bora
na
👉🏼Kubebeshea-mimea inabeba haraka na kwa wingi mazao yenye ukubwa sawa na mzuri/uzito mzuri/rangi na ladha nzuri
Inatumika kidogo sana
✅Kwa kila Lita 1 ya maji utachanganya na SuperGro 1cc
Yaani kama pampu yako ina ujazo wa Lita 16 utachanganya na SuperGro 16cc , kama ina Lita 20 utachanganya na SuperGro 20cc
Inatumika kwenye misimu yote
✅Kiangazi
👉🏼Utapiga mara 1 kila baada ya siku 7
✅Masika
👉🏼Utapiga mara 1 kila baada ya siku 14

0 Comments